Jeremiah 2:18-19


18 aSasa kwa nini uende Misri
kunywa maji ya Shihori?
Kijito kinachoelekeza maji katika Mto Naili.

Nawe kwa nini kwenda Ashuru
kunywa maji ya Mto Frati?

19 cUovu wako utakuadhibu;
kurudi nyuma kwako kutakukemea.
Basi kumbuka, utambue
jinsi lilivyo ovu na chungu kwako
unapomwacha Bwana Mwenyezi Mungu wako
na kutokuwa na hofu yangu,”
asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Copyright information for SwhKC